DIAMOND NA HARMONIZE USO KWA USO
Wasanii wa Bongo fleva Naseeb Abdul 'Diamond na Rajab Abdul 'Harmonize' wamekutana na kupeana mikono walipokutana kwenye Iftar Ikulu jijini Dar es Salaam
Harmonize alisikika akimwambia Diamond Platnumz' kuwa nitakupigia simu kesho naomba pokea basi.
Wawili hao walikuwa pamoja mtu na boss wake pindi Harmonize alipokuwa WCB miaka tisa iliyopita tangu aondeke ni miaka minne sasa wawili hao hawakuwai kuongea wala kuonana na sasa wamekutana na akuzungumza rasmi.

Comments
Post a Comment