Posts

Showing posts from January, 2025

DAR BIASHARA MASAA 24 KUZINDULIWA FEBRUARI 22

Image
MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amesema   uzinduzi rasmi wa biashara kwa saa 24  utafanyika Februari 22, mwaka huu 2025,   na utaanzia eneo la Ofisini za Mkuu wa Mkoa hadi Kariakoo kuwa na matukio tofauti tofauti. Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam, Chalamila amesema ufanyaji biashara kwa saa 24  unalenga kuimarisha uchumi wa mkoa, kuongeza mapato ya serikali na kutoa fursa za ajira. "Ufunguzi huo utaanzia ofisini za Mkuu wa Mkoa hadi Kariakoo ambapo ndipo watafanya ufunguzi rasmi. Ameeleza kuwa maandalizi ya ufungaji wa kamera za CCTV na taa za barabarani yanaendelea ili kuhakikisha usalama wa raia na mali zao unadumishwa. “Tunahakikisha mkoa wetu wa Dar es Salaam unakuwa na mazingira bora ya kufanya biashara muda wote, na tayari tunashirikiana na viongozi wa halmashauri kuimarisha maeneo yanayofaa kwa biashara za masaa 24,” amesema Chalamila. "Tutahakikisha tunapanga vizuri maeneo ya chakula pamoja na vinywaji ili...

ALEX MSAMA APEWA TUZO YA HESHIMA

Image
  MKURUGENZI wa Msama Promotion Alex Msama amepewa tuzo ya Heshima na Chama cha Muziki wa Injili nchini (CHAMUITA) kama Muandaaji Bora wa matamasha ya nyimbo za Injili muda wote  kuinua na kusapoti muziki huo. Akizungumza baada ya kupokea tuzo hiyo Msama amesema kuwa anashukuru kwa tuzo ya heshima aliyopewa na anahamini itazidi kumpa chachu ya kuendeleza na kuzidi kuinua muziki huo. "Nimetoka mbali nimefanya kazi nyingi sana nilikuwa dereva, nimebeba mizigo Kariakoo lakini kubwa ni kutangaza kazi za waimbaji wa nyimbo za Injili, nashukuru kwa kutambua Mchango na juhudi zangu katika kutangaza muziki wa Injili. "Nitaendelea kusapoti Muziki wa Injili na kuzidi kuinua na kuwapa ushirikiano wasanii wachanga wa muziki huo kama nilivyoshirikiana na kuwasapati waimbaji wakubwa hapa nchini na sasa nitahakikisha tunawatambulisha kina Rose Muhando, Boniface Mwaitege na Bahati Bukuku wengine."amesema Msama Pia ameongeza kuwa tuzo aliyopewa sio ya Msama peke yake bali ni tuzo ya mash...

MSAMA AWATAKA WATU KUHESHIMU VIONGOZI WA DINI

Image
  Mkuru genzi wa Msama Promotions na Dira TV Tanzania ALEX MSAMA, amewataka watu wote wenye lengo la kumchafua na kuharibu jina la Nabii mkuu Geor Davie waaache mara moja kwani amekuwa akitoa huduma ya kweli kwa waumini wa mungub na wapo wengi kupitia kwa maombi yake wamefanikiwa wamejenga wamenunua magari wamepasi vyuoni wamefanikiwa kibiashara  wamwache mtumishi wa Mungu mpakwa mafuta wa Mungu. “Nabii mkuu Geor Davie ni mtumishi wa mungu heshima yake nchi na nje nchi ni kubwa sana na amekuwa akiheshimiwa na seriakli, waumini na watu mbali kwa huduma yake yakiroho anayoitoa kupitia kanisa lake” Msama amewataka watu wote wanaotumika kumchafua Nabii mkuu waache mara moja na kumtaka msanii wa nyimbo za IInjili GoodluckGozbert kuomba radhi mbele ya umma kwa kumchafua Nabii MKuu.

MSAMA ACHENI KUMCHAFUA NABII GEOR DAVIS

Image
Mkurugenzi wa Msama Promotions na Dira TV Tanzania ALEX MSAMA, amewataka watu wote wenye lengo la kumchafua na kuharibu jina la Nabii mkuu Geor Davie waaache mara moja kwani amekuwa akitoa huduma ya kweli kwa waumini wa mungub na wapo wengi kupitia kwa maombi yake wamefanikiwa wamejenga wamenunua magari wamepasi vyuoni wamefanikiwa kibiashara  wamwache mtumishi wa Mungu mpakwa mafuta wa Mungu. “Nabii mkuu Geor Davie ni mtumishi wa mungu heshima yake nchi na nje nchi ni kubwa sana na amekuwa akiheshimiwa na seriakli, waumini na watu mbali kwa huduma yake yakiroho anayoitoa kupitia kanisa lake” Msama amewataka watu wote wanaotumika kumchafua Nabii mkuu waache mara moja na kumtaka msanii wa nyimbo za IInjili GoodluckGozbert kuomba radhi mbele ya umma kwa kumchafua Nabii MKuu.