MSAMA ACHENI KUMCHAFUA NABII GEOR DAVIS

Mkurugenzi wa Msama Promotions na Dira TV Tanzania ALEX MSAMA, amewataka watu wote wenye lengo la kumchafua na kuharibu jina la Nabii mkuu Geor Davie waaache mara moja kwani amekuwa akitoa huduma ya kweli kwa waumini wa mungub na wapo wengi kupitia kwa maombi yake wamefanikiwa wamejenga wamenunua magari wamepasi vyuoni wamefanikiwa kibiashara  wamwache mtumishi wa Mungu mpakwa mafuta wa Mungu.

“Nabii mkuu Geor Davie ni mtumishi wa mungu heshima yake nchi na nje nchi ni kubwa sana na amekuwa akiheshimiwa na seriakli, waumini na watu mbali kwa huduma yake yakiroho anayoitoa kupitia kanisa lake”

Msama amewataka watu wote wanaotumika kumchafua Nabii mkuu waache mara moja na kumtaka msanii wa nyimbo za IInjili GoodluckGozbert kuomba radhi mbele ya umma kwa kumchafua Nabii MKuu.

Comments

Popular posts from this blog

MATAIFA 8 KUIMBA TAMASHA LA PASAKA

PIMEA USIKU WA WANA NDOA ULIVYOFANA MSIFICHANE NA KUWEKEANA VITU

UONGOZI DHAIFU VYATAJWA KUVURUGA TAASISI ZA VIJANA