MSAMA AWATAKA WATU KUHESHIMU VIONGOZI WA DINI
Mkuru
genzi wa Msama Promotions na Dira TV Tanzania ALEX MSAMA, amewataka watu wote wenye lengo la kumchafua na kuharibu jina la Nabii mkuu Geor Davie waaache mara moja kwani amekuwa akitoa huduma ya kweli kwa waumini wa mungub na wapo wengi kupitia kwa maombi yake wamefanikiwa wamejenga wamenunua magari wamepasi vyuoni wamefanikiwa kibiashara wamwache mtumishi wa Mungu mpakwa mafuta wa Mungu.

Comments
Post a Comment