FANYA MUAMALA UPATE ELFU 20000
Watumiaji wa mtandao wa Airtel nchini wameshauriwa kutumia huduma ya Airtel money ili kuweza kupata nafasi ya kujipatia shilingi 20,000/=, kwa kufungua huduma ya Artel money kwa namba au Airel Money App ndani ya miezi mitatu.
Mkurugenzi wa mawasiliano Jackson Mbando anasema kampeni hiyo itadumu kwa muda wa miezi mitatu na watumiaji wote wa mtandao huo watapata nafasi ya kupata kiasi hicho mara tu baada ya kufungua Airtel Money.Wadau mbalimbali wakiwemo Waandishi wa Habari walijitokeza mapema leo Septemba 26, 2024, kushuhudia uzinduzi wa kampeni mpya ya AirtelMoney Jiboost yenye lengo la kuku-boost pindi unapofanya miamala na AirtelMoney! Mr Money na Simba wanakuambia sasa utapata elfu 20,000 kadiri unavyofanya miamala, kutuma pesa Airtel kwenda Airtel au kununua muda wa maongezi kupitia AirtelMoney ufaidi supa bonasi!

Comments
Post a Comment