ALI KIBA NA NANDY WAACHIA DAH!

Msanii wa Bongo fleva nchini Ali Kiba maarufu kama 'King Kiba' pamoja na mrembo wa kiwanda cha muziki Faustina Mfinanga, 'Nandy' wameachia wimbo wa Dah!

Akizungumza wakati wa kuachia wimbo huo Nandy amesema ameona King Kiba ndie anae fiti kufanyanae kolabo hiyo.

Pia King Kiba ameongeza kuwa Nandy alimtafuta na kumwambia kuwa wanaweza kufanya pamoja remix ya wimbo wa Dah

Comments