JOH MAKINI ATUPA DONGO GIZANI


Nini kinaendelea.? Joh Makin kamlenga nani kwenye hiii.? Ameandika… “Hii tasnia yetu bana kuna vitu vinafikirisha sana sometimes kufundishana uoga kwiingi mtu anakubali kushiriki kwenye wimbo kiroho safi unapofika wakati wa kushiriki promo kwa faida ya pande zote unakuta mtu kawekewa masharti magumu kama utajiri wa kishirikina!! #Formula” 


Mpaka sasa ukipta kwenye page ya wasanii walioshirikishwa wimbo wa Formula na Joh Makini, msanii Jay Melody hajapost chochote kuhusu wimbo huo… Huku Bien akiwa am Esha post siku tano nyuma

Comments

Popular posts from this blog

MATAIFA 8 KUIMBA TAMASHA LA PASAKA

PIMEA USIKU WA WANA NDOA ULIVYOFANA MSIFICHANE NA KUWEKEANA VITU

UONGOZI DHAIFU VYATAJWA KUVURUGA TAASISI ZA VIJANA