MSAMA KUMSOMESHA MTOTO WA MAREHEMU FREDY

 MKURUGENZ

I wa Msama Promotion Alex Msama amejitolea  

mtoto wa  Marehemu Msanii wa Bongo Movie Fredy Gordon Kiluswa miaka mitatu.

MKURUGENZI wa Msama Promotion Alex Msama amejitolea kumsomesha mtoto wa  Marehemu Msanii wa Bongo Movie Fredy Gordon Kiluswa miaka mitatu.

Akizungumza Mshehereshaji katika msiba wa Fredy Mc Dkt Cheni amesema kuwa Msama ametoa ahadi hiyo baada ya Steve Mengere  'Steve Nyerere' kusema atamsomesha mtoto huyo kwa mwaka mmoja.

"Msama amesema kuwa atampokea Steve Nyerere kwa kumsomesha mtoto huyo kwa mwaka mmoja ndipo Msama akasema atampokea Steve Nyerere kwa kumsomesha miaka mitatu jina la mtoto anayejulikana kwa jina la Kenzo ambaye kwa sasa yupo darasa la pili."amesema

Kwa upande wake Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Msama Promotion Alex Msama amesema kuwa ameguswa na Msiba huo wa kijana mdogo hivyo ameamua kuchangia kumsomesha mtoto kama sehemu ya faraja kwa familia hiyo.

"Ni kijana mdogo ameondoka mapema sana binafsi nimemfahamu kupitia kazi zake kazi yake mola haina makosa apumzike salama, Bwana ametoa bwana ametwaa jina lake liiimidiwe."amesema Msama

Comments