AZAM TV KIMEWAKA SOKO NI MOKO
AZAM TV yatangaza rasmi uzinduzi wa kampeni yetu mpya ya Kimewakaa Soko ni moko! Lengo letu ni kuiweka AzamTV kama kituo kimoja cha burudani bora kabisa.
Pamoja na hayo kuongeza thamani kwa wateja wetu AzamTV kushirikiana na kampuni dada AzamPay. Ushirikiano huu ni zaidi ya promosheni ni hatua muhimu kuelekea kuwapa Watanzania huduma bora zaidi za burudani na malipo kwa urahisi, ili wateja wetu wafurahie huduma zetu bila usumbufu.
Na ushirikiano huu kwa pamoja tunauita "Kimewakaa! SokoNiMoko... Cha Juu Zaidi!" AzamPesa.
Malengo ya Kampeni
Kwanza, tunataka kuimarisha nafasi ya Azam TV kama nyumba ya burudani bora, mpira, sinema, tamthilia, vipindi vya watoto na familia, vyote sehemu moja.
Pili, tunalenga kuwapa wateja urahisi wa malipo, kwa kuwahamasisha wateja wa AzamTV kutumia AzamPesa kwa malipo ya haraka, salama, na yenye urahisi zaidi.
Tatu, tunawakaribisha watumiaji wa AzamPesa kujiunga na AzamTV, kupitia ofa maalum, cashback, na vivutio vinavyofanya burudani bora kupatikana kwa gharama nafuu.
da mwisho, tunalenga kuwapa wateja uzoefu wa juu zaidi, kwa kuwahamasisha walioko wenye vifurushi vya chini kupanda hadi kifurushi cha PLAY.
Ofa Maalum ya Upgrade
manzia tarehe 27 february kwa muda wa miezi mitatu, tunaleta ofa maalum kwa wateja naolipa kupitia AzamPesa: wahi sasa, labla ofa haijaisha.
Wateja wanaolipa TZS 28,000 PLUS watapata huduma za kifurushi cha TZS 35,000 PLAY.
Wateja wa TZS 19,000 PURE wanaweza kupanda hadi TZS 28,000 PLUS na bado kufurahia faida zote za kifurushi cha PLAY cha TZS 35,000.
Wateja wa TZS 35,000 PLAY watapata cashback ya TZS 7,000 kupitia AzamPesa, huku wakiendelea kufurahia PLAY kama kawaida.
hii inaleta thamani kubwa kwa wateja wetu, ikiwapa burudani ya kiwango cha juu kwa arama nafuu zaidi.
muhimu wa Kampeni Hii
Kampeni hii siyo tu kuhusu ofa, bali ni kuhusu kujenga mfumo mmoja rahisi wa hudu ambapo burudani na malipo vinakwenda pamoja.
Ni kuhusu kuthamini wateja wetu, kuongeza urahisi wa maisha, na kuchangia ukuaji uchumi wa kidijitali nchini Tanzania.
Kwa niaba ya AzamTV na AzamPay, tunawashukuru wanahabari, washirika wetu, na wote kwa kuendelea kutuunga mkono. Tunawaalika Watanzania wote wapenzi wa sinema, na familia zote kujiunga nasi katika kampeni hii mpya.
Kwa sababu burudani bora na malipo rahisi vinapokutana... Kimewakaa! SokoNiMoko... Cha Juu Zaaidi




Comments
Post a Comment