HASHEEM THABEET ASHINDA URAIS TBF

Mchezaji Nyota wa Basketball Hasheem Thabeet amechaguliwa kuwa rais wa chama cha mpira wa kikapu tanzania (TBF) baada ya kushinda kinyanganyiro icho katika uchaguzi uliofanyika Dodoma siku ya jumamosi tarehe 28
Katika uchaguzi huo Hasheem Thabit ameibuka mshindi baada ya kupata kura 34 kati ya 60 zilizopigwa na wajumbe Wengine walioshinda katika nafasi kinyangario icho ni pamoja Makamu wa rais - mohamed Kisui Katibu mkuu -Mwenza Fiston Kabinda Kaimu katibu mkuu- Saimon Mirondo Hashem kwa sasa anachezea team ya kikapu ya Dar City ambayo inatarajiwa kucheza fainali za BAL Kwenye michezo itakayochezwa kuanzia March 27 huko South Africa..

Comments

Popular posts from this blog

MATAIFA 8 KUIMBA TAMASHA LA PASAKA

PIMEA USIKU WA WANA NDOA ULIVYOFANA MSIFICHANE NA KUWEKEANA VITU

UONGOZI DHAIFU VYATAJWA KUVURUGA TAASISI ZA VIJANA