PARIMATCH BINGWA MSIMU WA TATU
MENEJA wa MasokoParimatch Lewis Paul amewataka Vijana kutumia mitandao ya kijamii Vizuri nakutotumia kwa mihemuko ilikepusha Madhara yanayoweza kutokea marabaada ya kutumia mitandao hiyo Ujumbe wa maudhui yasiyo na Maadili Mitandaoni.
Akizungumza katika Uzinduzi wa Msimu Mpya wa Bingwa season 3 inayorurshwa na Chanel ya Startimes jijini Dar es salaam Lewis Paul amesema kuwa maudhui yanayotolewa na baadhi ya watoaji wa maudhui hayo kutoa maudhui hayo kwa uangalifu ilikuepusha madhara yatakayo patikana na matumiaji wa mitandao hiyo.
"Ningependa kutoa ushauri kidogo kwa watu binafsi lazima ujiulize Msingi wa maudhui ,watuwengi huposti maudhui kwa mihemuko" Alisema Afisa Masoko Pari Match Lewis Paul
Naye Mkurugenzi wa kwanza infinix Margreth Laurence amewataka Vijana kuweza kutumia mitandao ya kijamii nakusisitiza kuwa matumizi mabaya mitandao ya kijamii huleta Athari za kisakolojia kwa vijana.
kwa Upande wake Muwakilishi wa Bodi ya filamu nchini Boke Kilonzo amewataka Vijana kuweza kutumia mitandao ya kijamii vizuri ilikuepusha madhara mabaya yanayo tokana mitandao hiyo.
Alisema Nivyema Vijana kujepusha matumizi ya mitandao yakijamii wakati wafuraha sana ilikuepukana namadhara yatayopatikana namatumizi mitandao hiyo jamii vibaya.
"Tuendelee kuzingatia Sheria na Miongozo iliyotolewa na Serikali"Alisema Bokhe kilonzo.


Comments
Post a Comment