STEVE NYERERE NA ASASI WAKABIDHI MILION TANO MSIBA WA MC PILIPILI.
MWENYEKITI wa Taasisi ya Mama Ongea Na Mwanao Steve Mengele iSteve Nyererei amesema Pilipili ameondoka kipindi ambacho taifa linamuhitaji.
Akizungumza wakati wa Salamu za Pole Kwa Familia, Ndugu, Jamaa na Marafiki wa Marehemu MC PiliPili Nchi Nzima inamlilia.
Aidha kama Mama Ongea na Mwanae wametoa kiasi cha Sh Milioni tano kitaka endakusaidia elimu kwa watoto wa marehemu Mc Pilipili.
Steve Nyerere Ameeleza Kuumizwa Sana na Kifo Cha Mc PiliPili Ikiwa Kama Nchi Imempoteza Mtu mahiri Sana.
"PiliPili ameondoka muda ambao kama nchi ilikuwa inamuhitaji kuongeza nguvu kazi"amesema
Marehemu MC PiliPili Amezikwa Leo Jioni Huko Jijini Dodoma,Tanzania.


Comments
Post a Comment