MBOWE UMEONYESHA UKOMAVU NA UZALENDO
Anaandika @stevenyerere2 [Mbowe] Umeonyesha Ukomavu mkubwa sana Umeonyesha Uzalendo kwenye Taifa lako ,Hukuangalia LOLOTE Mbele yako zaidi ya kuhakikisha Taifa letu linasonga Mbele,..Maendeleo Hayana Itikadi Maendeleo ni Faida kwa kila Mtanzania,.,.,..
Mh @freemanmbowetz Wewe ni Ni mfano wa kuigwa kwa wanasiasa na wapenda Siasa kuna la kujifunza kupitia wewe hasa vijana wanaozania Siasa ni kupinga Tu Kutukana, kukosoa,..na wanasahau Siasa ni Umoja wa kweli kwenye Kuhakikisha Taifa linasonga mbele,...
Dira si jambo la Mtu Dira ni jambo kubwa kwa maslahi ya Taifa letu, mh Mbowe leo Umeonyesha Upo kwa Ajiri ya Maendeleo ya Taifa letu,
Nimeona kila kona Wanasiasa Uchwara, Wana harakati Uchwara wanakubeza kwa hili wanashindwa kutofautisha kuwa Wewe ni mwenyekiti Mstafuuu Una haki Ya Kushiriki kwenye kila Jambo lenye Tija kwa Maslahi ya Taifa,...
Kazi ya Kutetea au Kushiriki kazi za chama chao Unaweza lakini shuhuri Za Chama zenye Tija na Maslahi ya Ya Watanzania, Lakini Sio shuhuri za kuligawa Taifa ,...Maana kwa Nyota yako Unaweza Ukawa unawapa Ushauri wakajenga Taswira Unataka kufanya Mapinduzi kwa chama chao, Ulicho Amua kunyamaza Ni hekima kubwa sana lakini jicho lako umeamua Kutupia kwenye Utaifa wako, Uzalendo na Mpenda Maendeleo.,.,.
Nakupongeza sana Mbowe Umeweza Umeonyesha Ukubwa wenye Tija,..Umeonyesha Ukomavu wa Siasa, Wewe ni Mwalimu wewe Ni Kiongozi wa kisiasa Uliyefungua Macho yako kwenye Maendeleo kulinda Amani na kusimama na Taifa hongera sanaaa


Comments
Post a Comment