MSAMA AREJESHA FOMU YA KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA UKONGA

MSAMA AREJESHA FOMU YA KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA UKONGA Mkurugenzi wa Msama Promotions, Alex Msama leo July 01, 2025 amefika katika Ofisi za Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Ilala Jijini Dar es Salaam na kurejesha Fomu ya Kugombea Ubunge Jimbo la Ukonga baada ya kuijaza kikamilifu.
Fomu hiyo imepokelewa na Katibu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wilaya ya Ilala, Chief Sylvester Yaredi.

Comments

Popular posts from this blog

MATAIFA 8 KUIMBA TAMASHA LA PASAKA

PIMEA USIKU WA WANA NDOA ULIVYOFANA MSIFICHANE NA KUWEKEANA VITU

UONGOZI DHAIFU VYATAJWA KUVURUGA TAASISI ZA VIJANA