VIJANA CCM NDIO CHAMA PEKEE CHENYE IMANI NA VIJANA

asilimia 60 ya walioshinda walikuwa vijana. Hii ni ishara kuwa vijana hawasubiri kupangiwa tena, bali wanajitokeza na kuaminiwa na wananchi. Ukomo wa viti maalum kwa wanawake umeongeza ushiriki wa vijana wanawake, jambo linaloimarisha usawa wa kijinsia na ujumuishwaji. 5. RAIS DKT. SAMIA: KIONGOZI WA MFANO KWA VIJANA
Chini ya uongozi wa Dkt. Samia Suluhu Hassan, vijana wamekuwa mstari wa mbele katika ajira, elimu, diplomasia, sanaa na michezo. Kauli mbiu yake ya “Kazi na Utu, Tunasonga Mbele” si maneno tu, bali ni dira ya kweli ya maendeleo. Ameanzisha fursa nyingi zinazowalenga vijana, akiwemo kuwa Rais wa kwanza mwanamke kuwateua vijana wengi katika nafasi za uongozi wa juu serikalini.
HITIMISHO: CCM NI CHAMA CHA LEO NA KESHO, HASA CHA VIJANA CCM ni chama makini, chenye misingi imara na maono ya mbali. Ni chama pekee kinachotambua kuwa taifa linalojenga vijana leo lina uhakika wa kupata viongozi bora kesho. Ni wakati wa vijana kujitokeza kwa wingi, kuchukua fomu, kushiriki katika siasa, na kuhakikisha kuwa sauti yao inasikika kwenye uamuzi wa taifa.

Comments

Popular posts from this blog

MATAIFA 8 KUIMBA TAMASHA LA PASAKA

PIMEA USIKU WA WANA NDOA ULIVYOFANA MSIFICHANE NA KUWEKEANA VITU

UONGOZI DHAIFU VYATAJWA KUVURUGA TAASISI ZA VIJANA