AMBER: MBOSSO ALINIOKOA NISIBAKWE

Mwanamitandao na Msanii wa Bongo fleva Lulu Eugene 'Amber Lulu' amefunguka na kudai Msanii mwenzake Mbosso Khan anayetamba na wimbo wa 'Pawa' alimsaidia alipotaka kubakwa miaka ya nyuma. Amber ameweka wazi kuwa miaka ya nyuma Mbosso alishawahi kumsaidia alipokuwa anataka kubakwa Lakini pia hajawahi kumwambia mtu yoyote. "Kuna watu waachaee tu mungu amewapa roho zao sio za kawaida nakumbuka bila mbosso leo katika maisha yangu ningekuwa na stori ya kibakwa😢na sijawaji kusikia popote mpaka leo nimeongea mwenyewe."- Amefunguka Mbosso Toa maoni yako je kuna rafiki yako alishawai kukusaidia kitu ukakuta kakutangaza kwa watu.

Comments

Popular posts from this blog

MATAIFA 8 KUIMBA TAMASHA LA PASAKA

PIMEA USIKU WA WANA NDOA ULIVYOFANA MSIFICHANE NA KUWEKEANA VITU

UONGOZI DHAIFU VYATAJWA KUVURUGA TAASISI ZA VIJANA