NIMEWAHI KUDATE NA GIGY VICHOCHORONI
Staa wa bongo fleva Abdul Kiba ameweka wazi kuwa aliwahi kutoka kimapenzi na Gify Stanford kipindi ambacho alikuwa hajulikani kabisa hapa mjini.
"Ni kweli nimewahi kuwa na mahusiano na Gigy ila ni kitambo sana. Kipindi hicho gigy Money alikuwa bado mdogo sana, Nadhani kati ya kikundi chake chote cha wanaume maarufu alichowahi kudate nao mimi ndio wa kwanza kipindi yupo anaishi vichochoroni uko."- Amefunguka Abdul Kiba
Ikumbukwe Gigy Money aliwahi kudai kupitia mitandao ya kijamii kuwa aliwahi kuwa na mahusiano na Abdul Kiba na Ali Kiba, Licha ya wawili hao kusita kuithibitisha ukweli huo nashukuru leo Abdul Kiba ameongelea hilo jambo.

Comments
Post a Comment