BUSHOKE AMVISHA PETE MCHUMBA WAKE
Msanii wa muziki wa Bongo Flava hapa nchini Bushoke Luta amemchumbia mpenzi wake na hivi karibuni pengine tutarajie mualiko wa ndoa kutoka kwao.
Bushoke amethibitisha taarifa hizo kupitia ukurasa wake wa Instagram ambapo amepost picha akiwa na mchumba wake na kuandika “She said yes” akimaanisha “Amesema ndio” 💍
Hongera sana Bushokeofficial


Comments
Post a Comment