DAR CITY BUNGENI DODOMA

Jana Dar City, walipata heshima ya kualikwa Bungeni kushiriki katika usikilizaji wa bajeti ya Wizara ya Michezo, Sanaa, Utamaduni na Mawasiliano kwa mwaka wa fedha 2026/2027.
Pia walipata nafasi maalum ya kukutana na kuzungumza na gwiji wa soka barani Afrika Didier Drogba, ambaye alitoa maneno ya kuwatia moyo kuelekea fainali za Basketball Africa League Finals zitakazofanyika Kigali mwishoni mwa mwezi huu.

Comments

Popular posts from this blog

MATAIFA 8 KUIMBA TAMASHA LA PASAKA

PIMEA USIKU WA WANA NDOA ULIVYOFANA MSIFICHANE NA KUWEKEANA VITU

UONGOZI DHAIFU VYATAJWA KUVURUGA TAASISI ZA VIJANA