DAR CITY KUCHEZA NA PETRO YA DE LUANDA KATIKA ROBO FINAL

Timu ya mpira wa kikapu ya Dar City ya Tanzania imepangwa kucheza na Petro De Luanda ya Angola katika hatua ya Robo Fainali ya michuano ligi ya Baskeball Afrika Timu ya mpira wa kikapu ya Dar City ya Tanzania imepangwa kucheza na Petro De Luanda ya Angola katika hatua ya Robo Fainali ya michuano ligi ya Baskeball Afrika (BAL) 2026..
Dar City na Petro De Luanda watacheza Mechi hizo za mtoano zinazotarajiwa kuchezwa Kigali, Rwanda kuanzia Mei 22 mpaka Mei 31,2026 ni Mabingwa wa michuano ya BAL 2024. Team ya Petro De Luanda nwalishawahi kuwa Mabingwa BAL na mwaka jana 2025 walicheza fainali…

Comments

Popular posts from this blog

MATAIFA 8 KUIMBA TAMASHA LA PASAKA

PIMEA USIKU WA WANA NDOA ULIVYOFANA MSIFICHANE NA KUWEKEANA VITU

UONGOZI DHAIFU VYATAJWA KUVURUGA TAASISI ZA VIJANA