MWILI WA KIJANA JAMES TEMBA AMBAYE ALIUWAWA NA KUKATWA KICHWA WAAGWA KKKT TABATA

Mwili wa kijana James Temba ambaye aliuawa kisha mwili wake kukatwa kichwa, ukiwa ndani ya Kanisa la KKKT Tabata Magengeni jijini Dar es Salaam kwa ajili ya ibada ya kumuaga marehemu.
Mwili wake ulikutwa kwenye Mto Msimbazi, eneo la Kipawa, Ilala jijini Dar es Salaam ukiwa hauna kichwa ambapo anatarajiwa kusafirishwa kwenda Moshi mkoani Kilimanjaro.

Comments

Popular posts from this blog

MATAIFA 8 KUIMBA TAMASHA LA PASAKA

PIMEA USIKU WA WANA NDOA ULIVYOFANA MSIFICHANE NA KUWEKEANA VITU

UONGOZI DHAIFU VYATAJWA KUVURUGA TAASISI ZA VIJANA