IRENE UWOYA AZUA GUMZO MTANDAONI KWA PICHA NA MPENZI WAKE
Msanii wa Filamu Irene Uwoya 'Mama Mchungaji ameposti picha zikionyesha yupo kwenye mapozi na mkaka black wakiwa wamevalia mavazi flani kama unavyoona picha.
picha hizo zimezia mjadala mlubwa mitandaoni na kuanza kuuliza kama ameshaulowa au anatarajia wengine wakimpongeza na wengine wanasema uenda ikawa ni tamthilia mpya ameigiza.
Hadi sasa Uwoya mwenyewe hajatoa ufafanuzi wowote kuhusu picha hizo, jambo linaloacha mashabiki wake kwenye sintofahamu.


Comments
Post a Comment