LAMATA NILIKUWA CHAWA MBEBA POCHI ZA WASANII NA KUWAPIGIA PASI

Mwongozaji na Mtayarishaji wa Filamu nchini Leah Mwendamseke 'Lamata' amesema kabla ya kuwa mwongoza tamthilia alikuwa anabeba bochi za wasanii location. Lea amesema kuwa kipindi hicho anabeba pochi lakini alikuwa akiandika stori zake na kuzihifadhi Kuna msanii maarufu alikataa nisimdirect.
"Zamani nilikuwa naandika story hivyo kazi yangu nyingine ilikuwa kubeba pochi za wasanii na kunyoosha nguo zao na mara ya kwanza napewa kazi ya ku-direct movies msanii mkubwa aligoma siwezi kumuongoza kwenye movie sababu nabeba pochi zake"Lamataleah Kunachakujifunza haijalishi unapitia nini Fanya ili kufikia lengo lako unalotaka dhahabu lazima ipite kwenye moto ili kujulikana kuwa ni dhahabu.

Comments

Popular posts from this blog

MATAIFA 8 KUIMBA TAMASHA LA PASAKA

PIMEA USIKU WA WANA NDOA ULIVYOFANA MSIFICHANE NA KUWEKEANA VITU

UONGOZI DHAIFU VYATAJWA KUVURUGA TAASISI ZA VIJANA