BABA LEVO AFUNGUA KAMPENI KIGOMA MJINI
Mgombea ubunge jimbo la Kigoma Mjini kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Clayton Chipando (Baba Levo) amefungua Kampeni za Ubunge Jimbo la Kigoma mjini na kupokelewa na Maelfu katika viwanja vya Mwanga Community Center ambapo amesindikizwa na msanii ZUCHU, Dvoice na wengine wengi katika ufunguzi wa kampeni hizo…


Comments
Post a Comment