MSAMA AWAJIA JUU WANAOTAKA KUVUNJIKA KWA AMANI
Mkurugenzi wa Msama Promotions Alex Msama ametoa wito kwa wale wanaokuwa mstari wa mbele kuhamasisha uvunjifu wa amani kwa nchi kupitia majukwaa ya mitandao ya kijamii, kuelewa kwamba Watanzania hawako tayari kushiriki kwenye hoja au vitendo vitakavyopelekea uvunjifu wa amani kwa Taifa lao
"Unapotaka kitu fulani ukaona umekosa kaa kimya, sasa wewe ukianza kuleta maneno maneno, sisi Watanzania tunaishi kwa amani, tunapendana, tunatoka kwenye eneo moja kwenda eneo jindine, hakuna Mtanzania yeyote aliye tayari kuharibu amani ya nchi" -Msama
Msama ametoa kauli hiyo leo, Alhamisi Septemba 25.2025 alipokuwa Akizungumza na wanahabari kuhusiana na masuala mbalimbali yanayondelea nchini, ambapo pamoja na mambo mengine amedai kuwa kumekuwepo na wimbi linalotumia majukwaa ya mitandao ya kijamii kutoa kauli za uchochezi lengo likiwa ni kutengeneza chuki miongoni mwa Watanzania, jambo ambalo amesema halitofanikiwa
Amesema kwa sasa, Watanzania wanaendelea kufuatilia kwa karibu kampeni za uchaguzi, ili ifikapo Oktoba 29

Comments
Post a Comment