WASANII WAJITOKEZA KAZURAMIMBA KUMUHUNGA MKONO MAMA SAMIA
KAZURAMIMBA tunasonga mbele!!!!
Leo tupo hapa kuunga mkono kampeni za Mama Samia Suluhu Hassan kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025.
Ni fahari yetu kuwa sehemu ya harakati hizi za maendeleo, tukisimama imara kuhakikisha tunaendeleza ilani ya CCM kwa mustakabali bora wa Taifa letu.
Oktoba ni jukumu letu kutiki kwa Mama Samia!
Huu ndio wakati wa kusimama bega kwa bega na kiongozi anayejali wananchi wake – Rais Samia Suluhu Hassan – ambaye ameahidi kuleta mabadiliko chanya, kuimarisha uchumi, na kufungua fursa zaidi kwa vijana.
Kwa pamoja, tunashirikiana kuandika historia mpya ya maendeleo endelevu.
Sauti yako ina thamani – tujitokeze kwa wingi Oktoba 29!
@ccmtanzania
@safariya_ccm
@samia.app
@samia_suluhu_hassan
#MamaSamia2025 #CCM #Kazuramimba #MaendeleoTunayoYataka #OktobaNiyetu





Comments
Post a Comment