ALEX MSAMA AWAASA VIJANA KUHESHIMU NA KULINDA MALI ZA NCHI

Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion Ndugu Alex Msama amewaasa Vijana na Watanzania wote kwa ujumla kuheshimu na kulinda mali za nchi kwa ajili ya kizazi kiliopo na kijacho, hii ni baada ya baadhi ya vijana usiku wa jana kufanya uharibifu wa miundombinu ya Magari yaendayo kasi maarufu kama Mwendokasi. Msama amesema Serikali inatumia kodi ambazo zinakusanywa kutoka kwa Wananchi na kufanya maendeleo hivyo si vyema kutoka na kuenda kuharibu miundombinu hiyo.

Comments

Popular posts from this blog

MATAIFA 8 KUIMBA TAMASHA LA PASAKA

PIMEA USIKU WA WANA NDOA ULIVYOFANA MSIFICHANE NA KUWEKEANA VITU

UONGOZI DHAIFU VYATAJWA KUVURUGA TAASISI ZA VIJANA