DERA NI VAZI LA HESHIMA KWA KINA DADA LINAFANYA MWILI KUWA HURU
Dera ni vazi la heshima la kina dada linalofanya mwili kuwa huru.
Vazi hili huvaliwa sehemu yoyote humfanya mtu kuheshimika na mwanamke kuonekana mstaarabu.
Zamani tulizoea kuona madera yakivaliwa na wanawake wa Kiislam tu.
Lakini siku hizi mambo yamebadilika na kila mwanamke anavaa na kuonekana kupendeza.
Yapo madera ya aina tofauti tofauti kunayakushonwa kwa kutumia kitambaana yapo yanayotoka nchi za kiarabu n ahata Somalia.
Pia kuna madera ya kisomali ambayo ununuliwa Mombasa nchini Kenya. Haya yamepewa jina maarufu kama vijora.
Ukienda katika harusi nyingi za kiislamu kijara huwa ndio sare maarufu kwa wadada.
Dera huwa alimkatai mtu lakini pia ni vazi la heshima ambalo mwanaume akikuona mwanamke umevaa anakutafsiri kuwa ni mwenye heshima (hunajiheshima) na kama unafaa kuwa mke bora ndani ya familia.
Vazi hili halimkatai mtu si mnene mwembamba mtu mweusi mweupe, mrefu na hata mfupi akivaa anapendeza.


Comments
Post a Comment