OMONDI NDANI YA MAISHA YA GIGY


Mchekeshaji kutoka nchini Kenya Erick Omondi ametua nchini kwa ajili ya uzinduzi wa Reality Show ya msanii wa bongo fleva Gift Stanford ‘Gigy Money’ itakayozinduliwa leo Kilimanjaro Hotel jijini Dar es Salaam.

Akizungumza na waandishi wa Habari mara baada ya kupokelewa Erick Omondi amesema kuwa Kenya wanataka Diamond atoe mahari ya Ng’ombe 500 kwa ajili ya kumuoa Tanasha Dona na hawataki pesa.

“Kama familia ya tanasha mimi kaka yake tumemwambia Diamond Platnums kuwa anatakiwa kulipia ngombe 500 kwa dada yetu Tanasha ng’ombe nasio pesa hatutaki kabisa.

Comments

Popular posts from this blog

MATAIFA 8 KUIMBA TAMASHA LA PASAKA

PIMEA USIKU WA WANA NDOA ULIVYOFANA MSIFICHANE NA KUWEKEANA VITU

UONGOZI DHAIFU VYATAJWA KUVURUGA TAASISI ZA VIJANA