GNAKO HANA UTANI KAVUJISHA DUDE LA WEUSI
Gnako hana Utani… hatimaye kaamua kulivujisha Dude la Weusi
Na hii ni baada ya muda wa zaidi ya mwaka kupita bila kupata wimbo mpya kutoka kundi la weusi na tumekuwa tukiwashuhudia wasanii wa kundi hilo wakitoa kazi za mmoja mmoja kitu kilichopelekea Gnako kudai atavujisha wimbo mpya endapo hawatakua Tayari kutoa…
Anasema “WEUSI NILIWAAMBIA DUNIA HAINA MUDA NA MIMI SINA MUDA NDO NALIACHIAAAA HIVYOOO
WATAGINI WEUSI WAJE HAPA KINANUKAAA

Comments
Post a Comment