JORDAN AWABARIKI WANAMITINDO



MSHINDI wa shindano la Mr Jordani Frank Dionis Mizambwa amewataka wanamitindo wanaoshiriki katika mashindano ya mitindo kuacha dhana ya kuona mshindi amep angwa.

Shindano Hilo ambalo limefanyika hivi karibuni katika chuo cha Jordani kilichopo Morogoro kwa lenye lengo la Kukuza vipaji vya wanafunzi na kutoa frusa mbalimbali chuo Ili hapo.

Akizungumza na ukurasa huu amesema wakati wanaelekea fainal kulikuwa na maneno mengi ya kusema mshindi amepangwa jambo ambalo lilimkatisha tamaa ya Kitasa kuacha shindano.

“Siku kadhaa Kabla ya kufika fainali nilitaka kuacha kushiriki kwa sababu kulikuwa na tetesi mshindi amepangwa Ila kunarafiki yangu alinitia moyo niendelee huenda ikawa bahati yangu,” anasema Frank Donis Mizambwa

Aliongeza kuwa ushindi wake umetokana na jitihada zake hivyo kwa ambao wanataka kutimiza ndoto zao katika tasnia ya mitindo kinachotakiwa ni jitihada na kukubali kufundishwa na kupokea ushauri.

Aidha ameahidi kuto wangusha mashabiki zake hususa katika chuo hicho atafanya majukumu yake kwa ufasaha na kuongeza chachu ya mitindo na kuwa balozi bora ndani na nje ya chuo.

Comments

Popular posts from this blog

MATAIFA 8 KUIMBA TAMASHA LA PASAKA

PIMEA USIKU WA WANA NDOA ULIVYOFANA MSIFICHANE NA KUWEKEANA VITU

UONGOZI DHAIFU VYATAJWA KUVURUGA TAASISI ZA VIJANA