BOOMPLAY YAPELEKA VIBE VYUONI

Boom Play Tanzania awameungana na Itel kuwaunganisha pamoja Wanachuo wa Chuo Kikuu cha Dar es Salam (UDSM) na Chuo Kikuu cha ARDHI na wapenda burudani wengine kupitia Power Up Your Life: Music Festival ambayo pia imejumuisha maonesho ya bidhaa mbalimbali kuanzia Marchi 3 viwanja vya mabibo hostel mwaka huu.

Tamasha hili kubwa la muziki litafanyika siku ya kilele cha maonesho ya bidhaa viwanja vya UDSM - Mabibo Hostel, Jumamosi, Februari 3, 2024. Huku Wasanii maarufu Bongo kama Barnaba, Meja Kunta, Kontawa, Platform, Lony Bway, Lody Music, na wengine wengi watakuwa jukwaani kutoa burudani ya kipekee.



Comments

Popular posts from this blog

MATAIFA 8 KUIMBA TAMASHA LA PASAKA

PIMEA USIKU WA WANA NDOA ULIVYOFANA MSIFICHANE NA KUWEKEANA VITU

UONGOZI DHAIFU VYATAJWA KUVURUGA TAASISI ZA VIJANA