FAMILIA KUMKUMBUKA KOMBA KIVINGINE

Katika kumuenzi aliyekuwa muimbaji na mtunzi mahiri wa nyimbo za kijamii na kisiasa Captain John Damiano Komba familia imeandaa mkakati maalum kumuenzi Captain Komba



Wakizungumza na waandishi wa habari wawakilishi wa familia ya Captain Komba wamesema mara nyingi hufanya kumbukizi ya kumuenzi Captain kila mwaka lakini kwa mwaka 2024 wangependa kuwa tofauti ambapo mwaka huu wamedhamiria kuungana na Rais Samia pamoja na Serikali kusapoti matibabu ya watoto wanaosumbuliwa na ugonjwa wa moyo na kujenga Makumbusho ya Captain Komba (Museum)

Comments

Popular posts from this blog

MATAIFA 8 KUIMBA TAMASHA LA PASAKA

PIMEA USIKU WA WANA NDOA ULIVYOFANA MSIFICHANE NA KUWEKEANA VITU

UONGOZI DHAIFU VYATAJWA KUVURUGA TAASISI ZA VIJANA