TYLA MSANII MDOGO MWENYE VIEWS MILLION 100
Muimbaji kutoka nchini South Africa Tyla ameweka rekodi ya kuwa msanii mwenye umri mdogo zaidi barani Africa kufikisha mwenye Views Milioni 100 mtandao wa Youtube kupitia video ya wimbo wake wa alioupa jina la Water.
Video ya Hit yake hiyo ya Water aliipandisha miezi mitatu iliyopita na sasa ina jumla ya Views Milioni 104 na kuvunja rekodi ambayo ilikuwa inashikiliwa na Rema wa Nigeria kupitia ngoma ya Calm Down.


Comments
Post a Comment