TAMASHA LA PASAKA KUANZA DAR


Mkurugenzi wa kampuni ya Msama Promotion Alex Msama ametangaza Tamasha la Pasaka mwaka 2024  linatarajia kuanza kufanyika katika mkoa wa Dar es Salaam siku ya Pasaka Machi 31 mwaka huu

Waimbaji mbali mbali wa muziki wa Injili watashiriki katika  Tamasha hili kubwa la Pasaka kwa mwaka 2024.

Maandalizi makubwa yanaendelea kufanyika, na Tamasha la mwaka huu limekuja na kauli mbiu inayosema "

 ASANTE MUNGU KWA KUTUPA RAIS DKT.SAMIA SULUHU HASSAN MCHAPA KAZI.

Comments

Popular posts from this blog

MATAIFA 8 KUIMBA TAMASHA LA PASAKA

PIMEA USIKU WA WANA NDOA ULIVYOFANA MSIFICHANE NA KUWEKEANA VITU

UONGOZI DHAIFU VYATAJWA KUVURUGA TAASISI ZA VIJANA