DIAMOND PLATNUM ATANGAZA KUWA SINGLE

 Msanii wa Bongo fleva nchini Naseeb Abdul, 'Diamond Platnum' ametangaza rasmi kuwa single na hana mahusiano na mwanamke yoyote  hasiwekewe mwanamkekuwa na mahusianonae.



Diamond Platnum ameandika kuwa“Kuanzia sasa na kuendelea ningependa niwatangazie rasmi kuwa nipo Single sidate wala sina mahusiano na mwanamke yeyote hivyo nisiwekewe mwanamke yeyote kama mwanamke wangu”


“Itakapotokea kudate, kuwa na mahusiano nitawajuza ama kuwatambulisha kama ninavyofanya kila mara”.
Unahisi amemaanisha kweli atakuwa Single au ni kiki ya kutoa wimbo mpya?

Comments

Popular posts from this blog

MATAIFA 8 KUIMBA TAMASHA LA PASAKA

PIMEA USIKU WA WANA NDOA ULIVYOFANA MSIFICHANE NA KUWEKEANA VITU

UONGOZI DHAIFU VYATAJWA KUVURUGA TAASISI ZA VIJANA