TAIFA STARS YAAHIDIWA BILLION 1.3 KUIFUNGA CONGO

Wachezaji na benchi la ufundi la timu ya Taifa ya Tanzania Taifastars wameahidiwa Dola 500K sawa na TZS bilioni 1.3 endapo itafuzu hatua ya 16 bora ya fainali za michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika.


Taifa Stars leo itashuka dimbani na DR Congo kuanzia saa 5.00 usiku kwenye Uwanja wa Amadou Gon Coulibaly mjini Karhogo katika mchezo wa mwisho wa kundi F wakiwa na alama moja baada ya sare na Zambia.


Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Damas Ndumbaro amesema ahadi hiyo ya fedha imetolewa ili kuwaongezea hamasa kwa wachezaji.

Comments

Popular posts from this blog

MATAIFA 8 KUIMBA TAMASHA LA PASAKA

PIMEA USIKU WA WANA NDOA ULIVYOFANA MSIFICHANE NA KUWEKEANA VITU

UONGOZI DHAIFU VYATAJWA KUVURUGA TAASISI ZA VIJANA