MANARA NA ZAYLISAH RASMI WANANDOA
Haji Manara na Zainabu maarufu kama Zaylisah wanatamulika kama mke na mume wamefunga ndoa siku ya leo Jumatano 24 Januari 2024 Mbagala nyumbani kwa kaka yake Zaylisah.
Manara amemuoa Zaylisah baada ya kumvalisha pete siku sita zilizopita katika ukumbi wa the Super Dome Masaki


Comments
Post a Comment