DULLA MAKABILA HAKUSHTAKIWA NA MANARA

Aliyejitambulisha kama Mwanasheria wa Dulla Makabila  ameweka wazi kuwa Mteja wake hakushtakiwa na Haji Manara bali  Polisi kama wengi walivyoripoti mwanzo.


Amesema kuwa Polisi wamemuita Dulla Makabila
kumhoji kuhusu yale yanayoendea mitandaoni ili kuepusha Taharuki.

Mbali na hilo ameongeza kuwa pia Dulla Makabilla amehojiwa kuhusu wimbo wake kuhusu kama kamlenga mtu.

Dullah Makabila pia ameulizwa kuhusu kauli ya Marana  na kutoa maoni yake.

Comments

Popular posts from this blog

MATAIFA 8 KUIMBA TAMASHA LA PASAKA

PIMEA USIKU WA WANA NDOA ULIVYOFANA MSIFICHANE NA KUWEKEANA VITU

UONGOZI DHAIFU VYATAJWA KUVURUGA TAASISI ZA VIJANA