DIAMOND; MANARA HAPASWI KUWA KIFUNGONI

MSANII wa Bongo fleva Naseen Abdul 'Diamond Platnums' amemuombea msamaha Haji Manara kwa k ambalo alikuwa amefanya hadi akafungiwa anapaswa asamehewe na kuendelea na shughuli zake za mpira.


Diamond Platnums amesema kuwa Haji mpira unamuhitaji kwa asilimia mia hakuna kosa mtu anafanya hasisamehewe kwa muda aliofungiwa anapaswa kusamehewa michezo wa mpira unamuhitaji sana Manara.  


“Haikupaswa kuwa mpaka leo uko kifungoni. Binafsi hainingii akilini, Nguvu yako uliyonayo, kuna watu inawaumiza, Naamini Mungu atakusaidia. Mimi naumia kutokuwepo kwako. Uje utuongezee mbwembwe.


''Manara katika mpira wa Tanzania ana mchango mkubwa, Tukiendekeza chuki za mmoja mmoja tunadidimiza mpira wenyewe. Manara ana baya gani alilonifanya? Wakati mwingine ni chuki tu. Haji wewe ni dude kubwa. Tunaamini Serikali inatusikiliza na inatutazama. Serikali ipo na inaona. Mimi nimeanza kufuatilia mpira kutokana na Haji “amesema Manara

Comments

Popular posts from this blog

MATAIFA 8 KUIMBA TAMASHA LA PASAKA

PIMEA USIKU WA WANA NDOA ULIVYOFANA MSIFICHANE NA KUWEKEANA VITU

UONGOZI DHAIFU VYATAJWA KUVURUGA TAASISI ZA VIJANA