TUPA DONGO UNAKIMBILIA POLISI
Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa klabu ya Simba Sport Club, Ahmedy Ally ameibuka na andiko lake hili ambalo ni dongo akiambatanisha picha akiwa na maofisa mbalimbali wa jeshi la polisi; "Ukisikia kukimbilia Polisi ndio huku".

Comments
Post a Comment